Posts

Showing posts with the label land

KWANINI UWEKEZE KWENYE SEKTA YA MISITU?

Image
Kuna fursa iliyopo ya uwekezaji katika sekta ya misitu na msukumo wa ukuaji wake endelevu, unaowahakikishia wakulima wadogo na wakubwa kutumia fursa shindanishi katika biashara ya mbao, nguzo, mirunda na nishati katika kujenga uboreshaji wa uchumi, mazingira, na jamii. Yafuatayo ni mambo MATANO muhimu kuzingatiwa katika uwekezaji katika sekta ya misitu; 1    Mahitaji ya Miti Kuongezeka. Kufikia mwaka wa 2030, mahitaji ya mbao yataongezeka kwa mara mbili ya hali ya sasa na yamekuwa yakiongezeka siku hadi siku kwa sababu misitu kupungua, maendeleo ya bidhaa za misitu na idadi ya watu inazidi kuongezeka. Hata hivyo hadi sasa mahitaji ya nishati na karatasi bado kwa kiasi kikubwa yanategemea mazao ya miti. 2 .     Bei ya Miti Kuongezeka Zaidi. Kuadimika kwa mazao ya misitu sokoni kama vile mbao, nguzo, mirunda, kuni na bidhaa nyingine za miti kunapanua fulsa ya biashara na thamani ya uwekezaji katika sekta ya misitu nchini. Mti huongezek...

BUY LAND AS AN ASSET AND PLANT TREES FOR BUSSINESS

Image
Many people think about investment but most of them are end up with the with no choice on what they can decide to go with. As in the other side there is a lot of opportunity to go with their investment. This we call it ........... Silviculture Specialists in the Lowveld serving global customers including York Timber & Forestry (Long Ridge, Driekop), Komatiland Forestry (Wilgeboom, Uitsoek, Entabeni) and many more. Silviculture is the practice of controlling the establishment, growth, composition, health, and quality of forests to meet diverse needs and values. The name comes from the Latin silvi- (forest) + culture (as in growing). The study of forests and woods is termed silvology . Forest regeneration is the act of renewing tree cover by establishing young trees naturally or artificially, generally promptly after the previous stand or forest has been removed. The method, species, and density are chosen to meet the goal of the landowner. Forest regeneration inclu...