Posts

THAMANI YA SHAMBA LA MIPAINA/PINES HAIPO KWENYE WINGI WA MITI

Image
  Shamba la Miti ya Mipaina/Pines ambayo haijapunguziwa Karibuni tena kwenye SmartForestry na leo naomba kuzungumzia kuhusu Thamani ya shamba la Mipaina/Pines katika kilimo cha kibiashara kwa kuangalia faida na hasara za kuwa na miti mingi shambani. Tunaongelea Mipaina zaidi kwa sababu ndio miti pekee inayotawala kwenye soko hasa la mbao kwa sasa, hivyo ubora na thamani yake ipo zaidi kwenye unene na urefu wa mti shambani. Tukirejea kwenye maandiko yangu yaliyopita nimezungumzia kwa undani mbegu bora na upandaji miti, idadi gani ya miti inapaswa kupandwa shambani na umbali wa mti na mti unaopendekezwa. Unaweza rejea makala zangu zilizopita kwa maelezo zaidi. “Naomba nikazie kwa kusema kuwa Thamani ya shamba la Mipaina/Pines haipo kwenye wingi wa miti shambani, kitu cha msingi kuzingatiwa ni kuhakikisha unapanda kwa umbali angalau mita 3x3(Ft9x9) na unapunguzia miti kila baada ya miaka mitano ” Punguza angalau theluthi moja (1/3) ya miti iliyopo shambai kwako pale

UMUHIMU WA NJIA ZA MOTO KWENYE MASHAMBA YA MITI

Image
Njia za Moto (Firebreak/lines) Njia za Moto (Firebreak/lines) - ni nafasi iliyopo kati ya uoto au vitu vinavyoweza kuwaka/kushika moto na inayoweza kuzuia au kupunguza uwezekano wa Moto kushika au kuwaka. Njia za moto hutumika kuyalinda mashamba ya miti hasa ya miti pandwa kama mipaina/pines, milingoti/mikaratusi na aina nyingine ya miti kutokana na moto kichaa/msituni Mambo makuu mawili ya kuzingatia ni ; Umbali wa njia ya moto angalau iwe na upana wa mita 5 kwa njia ndogo za kutenganisha ploti moja na nyingine zisizozidi ukubwa wa heka 10. Pia njia za moto zinazotenganisha shamba moja na jingine ziwe na njia za moto zenye upana wa mita 10 na zaidi ili kuzuia uhamaji wa moto kirahisi.   Muda muafaka wa kutengeneza njia za moto ni wakati wa palizi/kupalilia hii inasaidia kuweza kuondoa nyasi au miti iliyoota kwenye njia za moto kirahisi na pia ni lazima zipaliliwe tena wakati wa kiangazi hasa kuanzia mwezi Juni na Julai ili kuhakikisha zipo safi na salama kwa kuzui

INCREASE THE VALUE OF YOUR TREE PLANTATION THROUGH THINNING.

Image
Thinning in Tree Plantation Thinning is a term used in agricultural sciences to mean the removal of some plants, or parts of plants, to make room for the growth of others. Selective removal of parts of a plant such as branches, buds, or roots is typically known as pruning. In forestry, thinning is the selective removal of trees, primarily undertaken to improve the growth rate or health of the remaining trees. Overcrowded trees are under competitive stress from their neighbors. Thinning may be done to increase the resistance of the stand to environmental stress such as drought, insect infestation, extreme temperature, or wildfire Here are five types of tree thinning in forest plantation; 1.       Thinning from below - removing anything that will not lead to high quality tree crown growth, this low thinning can be split into 4 Grades: A Grade is a very light thinning, that removes all overtopped trees Kraft crown class 4 and 5. B Grade is a very light thinning that rem